BlackBerry Bold 9700 black Kutoka USA inauzwa

BlackBerry Bold 9700 black Kutoka USA inauzwa

justdoit

Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
63
Reaction score
4
BlackBerry Bold 9700 black in color kutoka USA inauzwa 400 USD

na Nokia E 63 used red in color 1 GB memory (USED) inauzwa shilingi 150,000

Mawasiliano: 0713 531152
 
Weka picha tuzicheck ndio tufike bei.
 
BlackBerry Bold 9700 black in color kutoka USA inauzwa 400 USD

na Nokia E 63 used red in color 1 GB memory (USED) inauzwa shilingi 150,000

Mawasiliano: 0713 531152

hyo bb hyo dola ukiiweka kwenye tsh si mchezo imesimama kwelikweli kupata mtu lazima awe na mapenzi nayo kwelikweli ukizingatia ni used mkuu
 
hiyo E 63, imetumika kwa mda gani,?? price negotiable???
 
weka kwa Tsh bana madolari ya nini bongo? translate kwa madafu tuache kuzidi kuua currency yetu bana.
 
Back
Top Bottom