- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Hahaha, dah!laki moja
Hahaha, nashukuru Mkuu kwa maelezo.Max, japo nimeshahama kwenye blackbery na kujiunga na samsung kwa sababu iko faster 10 times na picha na video zake ni HD, ukikosa offer ya maana, nitamnunulia mtu kwa hiyo laki 500, 000 as an 'article of ostination', kumiliki simu ya Mkuu Max sio mchezo!
Tena ungefanya mnada wa simu ya Max inauzwa mbona ingefika 1.M!.
Hahaha, nashukuru Mkuu kwa maelezo.
Hapa siiuzi kwakuwa nina shida ya hela, nauza kwakuwa natakiwa kubadili handset. Kabla ya kumpa mtu naisafisha data zote inakuwa kama imetoka dukani.
Shukrani mkuu, much appreciated
Kuna mtu kaulizia picha:
Tayari Pasco kasema anaweza kuichukua kwa laki 5. Ila nitampunguzia nimpe kwa laki 4 na nusu.Mkuu laki 2 na nusu kijana aifuate hapo kwako chap chap
Max, japo nimeshahama kwenye blackbery na kujiunga na samsung kwa sababu iko faster 10 times na picha na video zake ni HD, ukikosa offer ya maana, nitamnunulia mtu kwa hiyo laki 500, 000 as an 'article of ostination', kumiliki simu ya Mkuu Max sio mchezo!
Tena ungefanya mnada wa simu ya Max inauzwa mbona ingefika 1.M!.
Hahaha, nashukuru Mkuu kwa maelezo.
Hapa siiuzi kwakuwa nina shida ya hela, nauza kwakuwa natakiwa kubadili handset. Kabla ya kumpa mtu naisafisha data zote inakuwa kama imetoka dukani.
Shukrani mkuu, much appreciated
Kuna mtu kaulizia picha:
Ok, akikosekana kabisa mtu, nitawasiliana na wewe, niipeleke kijijini, jamani watu kama mpo, simu ndio hiyo nimefika laki tano, bei ya dukani ni laki 8, inaenda kijijini, kufikia jioni funga bid, nikabidhi simu!.
Blackberry siku hizi hazina mpango! iphone!Max, japo nimeshahama kwenye blackbery na kujiunga na samsung kwa sababu iko faster 10 times na picha na video zake ni HD, ukikosa offer ya maana, nitamnunulia mtu kwa hiyo laki 500, 000 as an 'article of ostination', kumiliki simu ya Mkuu Max sio mchezo!
Tena ungefanya mnada wa simu ya Max inauzwa mbona ingefika 1.M!.
Blackberry siku hizi hazina mpango! iphone!