Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
wakuu nauza simu aina ya BlackBerry curve 1 iko vzur hasa kimuonekano pia inapiga kazi vzur tu kama inavyoonekana pichani
chakufanya utabadilisha sensi sababu kunawakati huwa inasumbua! ila cyo lazma sana sababu nime download application ya (UC Browser) kwaiyo unaweza itumia pindi sensi inapo sumbua!
kama utapendelea njoo kwa njia hii +225 713 943 432 tufanye biashara.
napatikana dar
+225 ni ya nchi gani?
Weka picha!
+225 ni ya nchi gani?
40 nipigie
weka namba mkuu
kuna 30 hapa! Haya pm fasta nkupe mpunga!loh
hahahaa mwisho utackia elf 10 ila mkuu bei yakuuza elf 40
shaulilo ! Ujue wikend hii! We haya!
hahaha kama kweli vle!
shauli lako bia zinakukosa!!
mkuu chukua namba hapo juu tuongee