Kama ni ya Kichina tuwasiliane!
mdada au mkaka?
mimi nitakupa laki na sim nokia ya torch juu, unasemaje..
mimi nitakupa laki na sim nokia ya torch juu, unasemaje..
hebu acheni utani mshikaji yupo sirious na biashara nyie mnaleta utani,mkuu na wewe bei iko juu sana punguza iwe btn 3 to 4 kilos