"Blackberry" Msaada tutani

Kimey

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2009
Posts
4,117
Reaction score
833
Wanajamvini naombeni msaada kwa yoyote anayejua jinsi ya kudownload picha kutoka kwenye blackberry pearl kwenda kwenye PC. maana nikijaribu picture zinakuja na REM extension so zinashindwa kufunguka. Nipeni utaalamu wa kubadili kutoka REM kwenda JPG format
 
Sina hakika, ila jaribu ku-rename REM kuwa jpg uone.
 
Pole, na hongera kwa kumiliki Blackberry Pearl, Storm ni kimeo!. Backberry zote zinatumia mtandao wa rim bila kujali unaconnect kupitia wapi. ukishadownload, picha utazikuta kwenye e-mail yako. hao rim wanazituma moja kwa moja, hivyo fungua e-mail yako utazikuta picha ulizodownload.
 
Sina hakika, ila jaribu ku-rename REM kuwa jpg uone.

thanks nimejaribu kurename ila imeshindikana may be unaweza nielekeza process za kurename!
 


Ok thanks mkuu.
 

Simple,
connect ur usb cable.
your blackberry will appear like any other flash drive on your PC.
Copy pictures from blackberry\pictures
there you go.
 
Simple,
connect ur usb cable.
your blackberry will appear like any other flash drive on your PC.
Copy pictures from blackberry\pictures
there you go.

Sio simple kiivyo unavyofikiri mkuu..ni kwamba picha unazocopy kwenye PC zinakua kwenye format tofauti (REM file) so ukijaribu kufungua hazifunguki ndo maana nikaomba utaalamu wa Kuchnage kutoka kwenye REM file to JPG
 
Looks like you have encryption turned on...you will need to turn that off. To get those encrypted pics un-encrypted, then email/copy them to yourself and which in one way or another will help to get rid of it. (if possible)

Here is How To Change The Encryption:

1. Options
2. Media Card
3. Encryption Mode: NONE

Note: Your Pictures might not be available however further pictures will not include encryption .rem extension rather .jpg

encryption is the process of transforming [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Information"]information[/ame] (referred to as [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Plaintext"]plaintext[/ame]) using an algorithm (called [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cipher"]cipher[/ame]) to make it unreadable to anyone except those possessing special knowledge, usually referred to as a key.
Source: Wikipedia.

Good Luck mate 🙂,
Kaka'B.
 
usihangaike saaana, kama unaweza kuzidownload kwenye comp, kuchange fomart tumia photoshop, au nyingine kama hiyo. hata ukijaribu kugugo mbona solution kibao tu mzee zinakkuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…