Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
.....,wanitumia msg nakusema huduma hiyo kwa sasa wamesitisha
Wamesitisha huduma Mkuu
Skills4Ever shukran kwa maelezo yako mazuri,tatizo mimi natumia mtandao wa ZAIN, na kuhama mtandao naona tabu sana, dah! mbona bei sana mdau tsh.36,000/= . unajua na simu nyingine nokia 2630 natumia zantel internet na napata e-mail moja kwa moja kama vile msg, nilidhani na kwa blackberry itakuwa hivyo pia.Jaribu kwenda vodacom ....
weka line ya voda
weka pesa 36,000 kwa siku 30
andika message....blackberry1 itume hiyo msg kwenda 123.
baada 30 mins ,.............gprs/edge inakuwa herufi kubwa GPRS/EDGE..hapo ujue imekubali
dunia la browser litaonekana(zima na iwashe simu kabla)...ndio hapo unaweka www........
pia kutakuwa na email setting icon imeongezeka...hapo utaweka email yako na passoword......
unaendelea kula maisha...ila kumbuka kila mwezi 36,000. la sivyo internet inakatika...na email hazitaingia wala kutuma
Skills4Ever shukran kwa maelezo yako mazuri,tatizo mimi natumia mtandao wa ZAIN, na kuhama mtandao naona tabu sana, dah! mbona bei sana mdau tsh.36,000/= . unajua na simu nyingine nokia 2630 natumia zantel internet na napata e-mail moja kwa moja kama vile msg, nilidhani na kwa blackberry itakuwa hivyo pia.
mimi mwenyewe nimepatwa na wasi wasi ni kwa nini waondoe huduma muhimu hivi kwa ulimwengu huu wa sasa.vipi zantel hawana huduma hii?Hama mapema, ZAIN haieleweki sasa hivi, jiulize kwa nini wameitoa hiyo huduma internet
Skills4Ever sasa nimekuelewa vizuri sana,si naona bora ni jiunge na VODACOM,ZAIN naona kazi imewashinda.wajua hii huduma ya BB makampuni ya simu wanainunua toka RIM UK,Canada....sasa hizo 36,000 ni access fee ya mtandao wao hao RIM waliotengeneza hiyo network na servers za blackberry....ukute hapo kampuni ya simu inapata labda 16,000/ na zingine zaenda kwa RIM...ndio maana unakuta inakuwa kama demand ya wateja inasababisha makampuni waingie ubia na RIM.....ni tofauti na Nokia,etc...ile tangu device hadi access lazima uwe nayo special yaani blackberry.......ingawa wengine nao kwa sasa wanajaribu kuiga....samsung,iphone etc