Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Ni nyeupe 16 gb ina cover original ina kila kitu kama charger,headphone,cable na boksi lake haina scratch niliinunua mpya kama miezi miwili iliopita na sasa siihitaji na haina tatizo lolote warranty bado inayo ya miezi 10 ikiwa unahitaji usisite kunipm humu na uache namba yako karibuni