blackburn wamebana wameachia!2-0

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
hatimaye dk za lala salama blackburn amekubali kuipa manutd point 3 muhimu!game lilikuwa gumu sana,vijana wa ot,leo hawakuwa mchezoni kabisa!hadi dk 81 antonio valencia akaipatia bao la kuongoza,huyu ndio jembe la man u kwa sasa,kabla ya young kutia ki2 cha pili dk 86, hili gap la point 5 na man city cjui.!naomba washika bunduki j2 msituangushe komaeni.
 
mimi sina la kusema,yaani hawa united ninavyowazimia we acha tu mkuu..
 
Man united wanachukua ubingwa mechi tatu kabla ya ligi aijaisha. Man city mechi yao na Arsenal hawatoki,tunaongeza gap na kuwa points 8. Mechi na Newcastle wamepona basi ushindi wa City utakuwa sare. Gap la points litaongozeka na kuwa 10, wapinzani subirini msimu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…