Mkuu mimi Kwakua tairi za kichina nnatumia na nnazikubali sana black lion kwenye gari zangu za mizigo, ki ukweli kabisa sijawahi kujutia wala kuwaza kubadilisha tairi za kampuni nyingine.Tayari mkuu,
Okay.Hata Mimi naona ni nzuri.Nimepitia reviews nyingi online sijaona negative comments so far.Mkuu mimi Kwakua tairi za kichina nnatumia na nnazikubali sana black lion kwenye gari zangu za mizigo, ki ukweli kabisa sijawahi kujutia wala kuwaza kubadilisha tairi za kampuni nyingine.
Kama hautaki kubeti na pesa yako nakushauri nunua tu huyo simba mweusi.Okay.Hata Mimi naona ni nzuri.Nimepitia reviews nyingi online sijaona negative comments so far.
Boto na sunfull kuna wachache hawazisemi vizuri.
Sidhani kama unaweza pata chini ya hapo mkuuKweli mkuu,kuna jamaa anauza 105 000,unadhan kuna sehem wanaweza is a chini ya hapo?