mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Msikilize mkurugenzi mtendaji CCK msemaji wa pili baada ya seneta. Alisoma certificate in laws udsm kabla ya kutimkia south africa 2014... wakati huo alikuwa akisakwa na vyombo vya ulinzi na usalama vya kenya. Ni rafiki wa Chacha machera aliyewahi kushika nambari moja kwa mbio za ubunge chalinze kupitia kura za maoni kupitia CDM kabla hajaporwa haki hiyo na mbowe.2015