mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Wananaojipendekeza kama wewe ndio wana mwisho mzuri. Chawa bana mna kazi kweli kweli.Watu wa hivi Huwa Wana mwisho mbaya sana ,Sasa Nchi za watu unafanya uhaini kweli? Chadema Ina Vijana wahuni na hovyo kabisa .
Bora kujipendeleza kuliko kuwa mpuuziWananaojipendekeza kama wewe ndio wana mwisho mzuri. Chawa bana mna kazi kweli kweli.
Yaani wanataka na wengine wawe makondoo kama sisi watanganyika,maana wazenj wao bora huwa wanaandamana.Bora kujipendeleza kuliko kuwa mpuuzi
Huyu ni kijana wa laila miaka yote si mwanachama wa chadema... ila anaurafiki na Chacha machera mwanachademaWatu wa hivi Huwa Wana mwisho mbaya sana ,Sasa Nchi za watu unafanya uhaini kweli? Chadema Ina Vijana wahuni na hovyo kabisa .
Kujipendekeza yenyewe ni upuuzi tayari, sasa upuuzi gani tena?Bora kujipendeleza kuliko kuwa mpuuzi
Upuuzi ni huo wa kuhatarisha Ustawi wa jamiiKujipendekeza yenyewe ni upuuzi tayari, sasa upuuzi gani tena?
Na hayo majizi ya kura hayahatarishi ustawi wa jamii?Upuuzi ni huo wa kuhatarisha Ustawi wa jamii
Mageuzi yatakuja Kwa ustaarabu bila kulazimisha Wala kuvuruga maisha mengine ndio historia ya TanzaniaNa hayo majizi ya kura hayahatarishi ustawi wa jamii?
Machafuko pekee ndio yataleta mageuzi ya kweli nchi hii.Mageuzi yatakuja Kwa ustaarabu bila kulazimisha Wala kuvuruga maisha mengine ndio historia ya Tanzania
Anzisha tukushughulikieMachafuko pekee ndio yataleta mageuzi ya kweli nchi hii.
Huna ujanja huo ww wa kumshughulikia yoyote. Ungekuwa na jeuri hiyo usingetumia fake I'd kama mimi. Machafuko ni lazima tunangoja tu muingie kwenye 18 ndio mtafurahi.Anzisha tukushughulikie
Polisi wamewaokoa kuzuia maandamano yao tungewapopoa na mawe mitaani wangejutaHuna ujanja huo ww wa kumshughulikia yoyote. Ungekuwa na jeuri hiyo usingetumia fake I'd kama mimi. Machafuko ni lazima tunangoja tu muingie kwenye 18 ndio mtafurahi.