Blatter amponda Messi

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Kiongozi wa zamani wa shirikisho la soka duniani (Fifa) Bw. Sepp Blatter, amesema mchezaji wa soka wa Argentina Lionel Messi hakustahili tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya kombe la dunia ya mwaka 2014 yaliyofanyika nchini Brazil.

Katika mashindano hayo Messi na timu yake ya Argentina walitolewa katika fainali baada ya kufungwa goli 1-0 dhidi ya Ujerumani iliyotwaa taji 👑

========
Former FIFA President, Sepp Blatter has said that Lionel Messi did not deserve the Golden Ball at the 2014 World Cup in Brazil.

He received the Golden Ball as the FIFA Committee voted the Argentine the best player of the tournament for his eye-catching performances at the 2014 FIFA World Cup in Brazil.

Blatter said that the former Barcelona man did not deserve the accolade. The former FIFA boss said the decision by the committee was not correct.

Messi scored four goals and provided assists in seven games as he led his nation to the final of the tournament.
He was, however, unlucky, as his side lost to Germany 1-0 courtesy of an extra time strike from Mario Gotze.
Messi was picked as the showpiece’s best player ahead of German international, Thomas Mueller and the Netherlands’ Arjen Robben.

“Shall I be diplomatic, or shall I tell you the truth? Listen, I was myself a little bit surprised when I saw Lionel Messi coming up for best player of the tournament,” he told AS. “I think the decision was incorrect,” he added.

Blatter said he was surprised when the committee presented their decision to him and told him they had only considered ten of the players who took part in the final.
 
Anazeeka vibaya,husda na chuki itamuua
 
Tuzo ya 2010 Mess hakustahili kabisa Maana Barcelona na Argentina hazikufanya vizuri na kuanzia pale Tuzo za Mess zilianza kuwekewa mashaka. Uyo Blatter ndiye aliye haribu kabisa hizo Tuzo.
 
Huyo mzee amezeeka amekuwa mshenzi

Kuna interview aliwahi kufanya kuwa hakuna km messi

Wengi wanaobisha hawaangalii mpira wanasoma tu humu

Ila dogo alikiwasha hatari
Tuache unafiki WC ya 2014 Messi alikiwasha sana hata final hawakuwa na bahati tu waliwadhibiti vzr Germans. Tumuulize Blatter nani alistahili??
 
Kwan hiyo tuzo anagawa yy si wachezaji wenzake ndio walimpigia kura
Jamaa alikuwa anampenda sana messi kipindi chake
Sahv sijui imekuaje itakuwa anaona maruwe ruwe huyu
 
Akalee wajukuu...anasemaje na hii ya juzi?maana imeonekana kila anachofanya mwenzake anakandia tu hadi kukosoa mwenyeji wa maandaliz ya wedi kapu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…