D Dispach Member Joined Dec 23, 2012 Posts 93 Reaction score 11 Dec 24, 2012 #41 amu said: unaiona hiyo avatar???ni mtoto wangu ana miaka 4 Click to expand... mh, haya angalia wapemba wakiona wataweka oda...........kisha atavalishwa kilemba cha utambulisho
amu said: unaiona hiyo avatar???ni mtoto wangu ana miaka 4 Click to expand... mh, haya angalia wapemba wakiona wataweka oda...........kisha atavalishwa kilemba cha utambulisho
D Dispach Member Joined Dec 23, 2012 Posts 93 Reaction score 11 Dec 24, 2012 #42 nachukua michango ya wana JF nachanganya na yangu
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Dec 25, 2012 #43 Dispach said: mh, haya angalia wapemba wakiona wataweka oda...........kisha atavalishwa kilemba cha utambulisho Click to expand... unasemaje wewe????sijakuelewa na kuwa makini na comment zako siyo kwa kuwa unatumia keyboard kila pumba inayokujia kichwani unaianika. Shika adabu yako zaa wa kwako kisha jipe onyo mwenyewe
Dispach said: mh, haya angalia wapemba wakiona wataweka oda...........kisha atavalishwa kilemba cha utambulisho Click to expand... unasemaje wewe????sijakuelewa na kuwa makini na comment zako siyo kwa kuwa unatumia keyboard kila pumba inayokujia kichwani unaianika. Shika adabu yako zaa wa kwako kisha jipe onyo mwenyewe