Bleach siyo lotion kila mtu apake, hii ilikuwa kitaalamu zaidi

Bleach siyo lotion kila mtu apake, hii ilikuwa kitaalamu zaidi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari za kikachero zinaeleza kuwa waarabu waliambiwa wawe makini na pacome mwenye bleach ila chajabu wakakutana na wachezaji wengi wenye bleach, Yao yao, Aziz ki, Diara na Guede aliyeweka ndevu bleach [emoji23][emoji23]

Walishindwa kumkaba PACOME yupi, AZIZ akawapa haki yao, PACOME halisi akapiga chenga timu nzima.

Tumelipa tatu zao na kuwaongeza moja.Tumetuma ujumbe Afrika, na hii nd'o timu ya Kwanza Kwenda NUSU fainali baada wafuasi wa MFALME ZUMARADI kuishia robo na kujisifu kuona hayo ni mafaniko.

Tumesha fainali kwahiyo robo sio mafanikio. wahiyo hii ndio klabu bingwa ambayo wafuasi wa MFALME ZUMARADI walisema ni ngumu?

Mbona Asec na Yanga wanaeleza. Ni michuano mepesi mno kuliko kombe la Shirikisho.

Sasa sio nusu ni FAINALI KABISA.

Nb/Tunaenda kuongoza kundi halafu CAF tupeni my wetu Aisha KOMWE binti SIMBA.
1700973464885.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yanga mpira wanajua aisee hii burudani sikutegemea kama ntaipata kwa Yanga Eng Hersi kafanya kazi sana na jopo lake sina cha kusema maana jamaa waliona Robo ni mafanikio wakati sisi hapo tunaweza kuvuka ngoja tupewe Mtu yeyote waone...
 
hatari mkuu..... mpira ni wa moto Hadi dk 90

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yanga mpira wanajua aisee hii burudani sikutegemea kama ntaipata kwa Yanga Eng Hersi kafanya kazi sana na jopo lake sina cha kusema maana jamaa waliona Robo ni mafanikio wakati sisi hapo tunaweza kuvuka ngoja tupewe Mtu yeyote waone...

Viongozi wa Yanga wameweka morali wa kupambana kwa wachezaji na nenchi zima la ufundi...
 
Back
Top Bottom