Bleed wakati wa ujauzito

Bleed wakati wa ujauzito

Joined
Jul 25, 2014
Posts
83
Reaction score
36
Habari wana jf ,mm nna ujauzito una wiki 3 mara ghafla leo asubui nikaona bleed kiasi cha kuvaa pedi moja,eti hii ni kawaida au ndio nimepata miscarriage? Lakini cjisikii vibaya wala kuumwa nipo kawaida japo niliumwa tumbo la bleed kiasi wakati bleed inaanza...naombeni msaada wenu
 
Siku hizi kumekuwa na tatizo hili kwa kiasi kikubwa sana ushauri wangu kwako unatakiwa uende kwenye kituo cha afya wakakucheck ili kuweza kujua ni tatizo gani ambalo limejitokeza usipuzie.
 
Kutokwa na damu wakati wa ujauzito katika zile wiki 12 za awali za ujauzito siyo kitu cha ajabu, kwani 20 % hadi 30 % ya wajawazito hupata/huona dalili hiyo. Lakini kwa kuwa ziko sababu nyingi za kutokwa na damu wakati wa ujauzito, unashauriwa uende kituo cha huduma za afya kufanyiwa uchunguzi na kupata ushauri wa uhakika.

Kutokwa na damu wakati wa ujauzito baada ya wiki 13 hadi ya 24, na wiki ya 25 hadi ya 36 ni dalili mbaya na mjamzito anashauriwa kuenda haraka sana kwenye kituo cha huduma za afya kufanyiwa uchunguzi na kupata ushauri wa uhakika. Kutokwa na damu wakati wa ujauzito wakati huu yaweza kuwa ni dalili ya ectopic pregancy, mlalo mbaya wa placenta (placenta previa), miscarriage, uvimbe nk
 
mkuu baunsa wa KIKe Kimbia hosp fata bila kupoteza dk hata dk .O kwani dalili za maumivu ya kichwa huanza pole pole .....

Vaginal bleeding during pregnancy can be scary. However, it isn't always a sign of trouble. Bleeding in the first trimester (weeks one through 12) is common, and most women who experience bleeding during pregnancy go on to deliver healthy babies.
Still, it's important to take vaginal bleeding during pregnancy seriously. Sometimes vaginal bleeding during pregnancy indicates an impending miscarriage or a condition that needs prompt treatment. By understanding the most common causes of vaginal bleeding during pregnancy, you'll know what to look for — and when to contact your health care provider.
na miongoni mwa sababu za hiyo kitu za weza kuwa hizi hapa;
1.Miscarriage-
2.Implantation bleeding.
3
Cervix problems.
4.Ectopic pregnancy
5.Molar pregnancy
6.
Placental abruption
7.
Placenta previa
8.
Uterine rupture.

Ukimaliza hapo sikiliza wimbo wa mr. nice "Nani kama mama " na wimbo C.Bella wa "nani kama mama".
 

Attachments

  • preg.jpg
    preg.jpg
    6.9 KB · Views: 304
  • preg2.jpg
    preg2.jpg
    13.1 KB · Views: 321
  • preg3.jpg
    preg3.jpg
    16.3 KB · Views: 301
  • preg4.jpg
    preg4.jpg
    19.8 KB · Views: 302
Last edited by a moderator:
baunsa wa kike unaendeleaje?
Mie pia niko na tatizo hilo na nilikuwa nataka nianzishe uzi kuomba ushauri.
Nilienda hospital nikaambia kababy kako poa kwani nilipiga ultra sound.
Ila nimeambiwa niwe napumzika sana.
Shukran kwa Mama Mdogo na MeinKempf kwa maelezo mazuri na kunipa moyo.
Maana nilishaanza kupoteza hope
 
Last edited by a moderator:
wamama wajawazito wote huwa wanafundishwa dalili za hatari wakat wa ujauzito na nini wakifanye mara waonapo dalili hzo,endelea kusubiri itaacha kutoka
 
Nimeupenda ushauri ulitolewa na katika hili watu wamekuwa wastaarabu na kuweka masihara pembeni
 
baada ya juhudi zote ila bahati mbaya imetokea na nimepata miscarriage.
Inauma sana sababu i did my best.
 
baada ya juhudi zote ila bahati mbaya imetokea na nimepata miscarriage.
Inauma sana sababu i did my best.

pole sana best......utapata mwingine kwa uwezo wa mungu.Lkn jitahidi ufanye check kabla haujabeba ujauzito mwingine ujue tatizo ni nn.
 
pole sana best......utapata mwingine kwa uwezo wa mungu.Lkn jitahidi ufanye check kabla haujabeba ujauzito mwingine ujue tatizo ni nn.

thanks my dia.
Ntafanya hivyo mkuu.
Kwa check up nlofanya baada ya kusafishwa, imeonyesha niko sawa tu.
 
Back
Top Bottom