Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mpya dukani bei gani??Blender Imesha uzwa.. asanteni kwa Ushirikiano wenu
Sasa kuna kameza cha seblen cha kioo kanauzwa elfu 55k bado kapo katika ubora wakeila kametumika miaka3 tu kwa bachelor
View attachment 1706572View attachment 1706573
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga hojaKwani mpya dukani bei gani??
bei ya dukani iyo, ukifika 20k nambiekioo kanauzwa elfu 55k
Furaha yako kuharibu na kuvuruga but mambo ya watu ila its okay.. I am neither less nor more on such attitude.. am beyond the box that you are in!bei ya dukani iyo, ukifika 20k nambie
Zaiba ni chuma. Ila hiyo bei [emoji848][emoji848]Kwani mpya dukani bei gani??
Ziaba noma bro na mm nilinunua mwaka huohuo 2016 mpaka leo ilikuwa ina nguvy ya ajabu ubora wakenoma sana..Zaiba ni chuma. Ila hiyo bei [emoji848][emoji848]
Nilinunua 2016 zanzibar ilikua kama 37K illa inachapa kazi fressh mpaka leo.
Sasa balaa moulinex mfaransa, home ilinunuliwa kwenye 2001 hivi, bei ilikua 47k ila chombo inapiga kazi mpaka leo ila majagi ndio yamezingua
Fair sana. Mana 2016 mpaka leo lazima ipandeZiaba noma bro na mm nilinunua mwaka huohuo 2016 mpaka leo ilikuwa ina nguvy ya ajabu ubora wakenoma sana..
nimeouza 40k kwa mjuzi anaye ijua kaifuata mpaka home