Njugu mawe
Member
- Sep 8, 2023
- 33
- 33
Picha Kwanza mkuuKuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa,
Wataalumu mnipe siri kuhusu kifaa hiki nahitaji kununua, inaweza kuwa zina madhaifh flani ndiyo maana zimeshushwa bei na xinaonekana zimetoka ujerumani
Picha Kwanza mkuu
π€£π€£π€£π€£ππ Dah hii dikuistukia kabisa, hata bendera ni miyeyusho kabisaKwa kuangalia tu box, Ujerumani haiandikwi ivo. Na pia Bendera yake haipo ivo.
Wanaonekana wasumbufu hao. Tafuta brand nyingine.
Kweli kabisaHizi Breander nyingi zilizopo Bongo sio Heavyduty ni counterfeit au kwa lugha nyingine copy, Kama kuna mtu unaemuamini anaeuza mtumba kutoka Ulaya huko utapata OG Heavyduty. Dukani mpya wengi makanjanja.
Mi ninayo lakini itakuwa feki nilinunua 55,000View attachment 2976976