Blender3D Experts: Let's Collaborate to Achieve Our Goals! (Animator, 3D Arts, Modelling )

Blender3D Experts: Let's Collaborate to Achieve Our Goals! (Animator, 3D Arts, Modelling )

Izy_Name

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2020
Posts
772
Reaction score
1,733
Natumai ujumbe huu unakukuta salama.
Nia na madhumuni ya kuweka bandiko hili ni kutafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D 3D Artists kama modelling, animation, CGI VFX etc.
1.jpg

Lengo ni ku organize ili ku achieve na kufikia malengo na kutimiza ndoto kupitia 3D.
Natafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D ambao wanaweza kuchangia ubunifu na ujuzi ili kuunda joint au TeamWork tutakaoweza kushirikiana.
2.jpg

Tafadhali nijulishe ikiwa una nia, na tunaweza kujadili mradi kwa undani zaidi. Unaweza kunifikia kupitia.

nicheck

[WhatsApp 0715724613]
 
Back
Top Bottom