Long Live Bob Marley. No woman no cry, buffalo soldier na Zimbabwe ni chaguo langu. Huku nikiwa na mtoto mzuri emmyta tukisikiliza Waiting in Vain pembeni ya Bahari ya Hindi huku tukila mihogo ya kukaanga na samaki wa kuokwa. Majangiri mtuache tafadhali.