Happy birthday mjukuu wangu...I just want to thank God for adding another year to my life.
Happy birthday to me.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] asante cuzoo ake[emoji7] [emoji7] [emoji7]Happy birthday cuzoo akee [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8] si unajua vile tunakupenda Yesu akutunze uje kuoza watoto wako si kwa uzee huu unaokunyemelea [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wifi yako kwa nani?Happy born day to you my lovely wii, Mungu akupe kila lenye kheri maisha mwako. Uishi miaka mingi na uone kizazi chako cha nne.... Nakupenda
Birthday yako ikifika usisahau kunambia nikuletee mauaHappy birthday swahiba. M'mungu azidi kukupa kila la kheri
Unapenda wangapi sasa??Asante Sana swahiba. Nakupenda[emoji7] [emoji7]
Niko hapa Marangu mtoni naria wari...Haaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babu uko wapi wewe? ??
Tushaolewa tushatotoa sahivi tunasubiri kuozesha wajukuu zako[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ilishapita na kupita babu inamana hukuiona jamani. [emoji23]Birthday yako ikifika usisahau kunambia nikuletee maua