Radio pekee unayoweza kusikiliza hata mwaka mzima bila kubadili station na bila kujihisi unamiss chochote kwasasa ni CLOUDS FM.
Na Television pekee ni EAST AFRICA TV.
Nyingine ni TAKATAKA tu.
Xxl ni level ingine kibongobongo dozen,mchomvu,kenedy na mamii baby
Jamaa kwanza wana swaga halafu wanyamwezi flani,hakuna pindi la kuwashindanisha nao hapa east africa
Radio pekee unayoweza kusikiliza hata mwaka mzima bila kubadili station na bila kujihisi unamiss chochote kwasasa ni CLOUDS FM.
Na Television pekee ni EAST AFRICA TV.
Nyingine ni TAKATAKA tu.
Since it's their debut in the industry give em an ample time,they gonna do better next timeproducer wa hicho kipindi achukue huu ushauri. >>>>> kwanza hawapeani nafasi kwenye kuuliza maswali mgeni akitaka kujibu anakatishwa na swali jingine, very unprofessional! alafu hayo maswali yao hayana ushawishi wa mtu kusikiliza zaidi pia hayamfanyi mgeni kufikiria marambili mbili kwenye kujibu. Maswali yao hayana utafiti ndani yake sometimes wanaweza wakamuuliza mgeni kitu alafu mgeni akawasahihisha kua sio hivyo bali ni hivi.. pia kwenye hayo maswali yao kuna mengine yanamfanya source apatwe na jazba ila basi tu anavumilia, maswali hawayaweki kwa mpangilio from malaini to magumu to malaini. Kipindi kinaendeshwa na mihemko makelele mengi content 0. waache kuigana. Hawaendi na muda inapaswa ikifika saa tano kamili show is over ili watanzania tulale sasa utakuta wanapitiliza kwa vitu visivyoeleweka very unprofessional. Wanapaswa kutenga dakika hata 2 tu za kusoma messages za raia tu sio wanataja social media zao alafu wanamaliza kimya kimya hata kusikia maswali yenye content kutoka kwa raia. Kabla hawajamuita mgeni wafanye research kwanza tena kweli kweli sio kufreestyle tu On air its very unprofessional.
MWISHO uchezeshaji wa jingles ni mbovu sanaaaa, jingles hawazipi nafasi hata sekunde kadhaa kwa sekunde kadhaa. mtu unaburudika na mziki mara utaskia ndani ya sekunde moja jingles 5! very unprofessional wjifunze kwa east africa radio na clouds jamaa kwenye muziki jingels ni moja au mbili tu na zinapikwa kwa wakati maalumu sio hovyo hovyo hadi kumboa msikilizaji.
πππXxl ni level ingine kibongobongo dozen,mchomvu,kenedy na mamii baby
Jamaa kwanza wana swaga halafu wanyamwezi flani,hakuna pindi la kuwashindanisha nao hapa east africa
Mkuuu na unga mkono hoja CLOUDS FM imejitosheleza kwa vipind kinomaaRadio pekee unayoweza kusikiliza hata mwaka mzima bila kubadili station na bila kujihisi unamiss chochote kwasasa ni CLOUDS FM.
Na Television pekee ni EAST AFRICA TV.
Nyingine ni TAKATAKA tu.
Yani hawa jamaa ni kama wanashindana kuongea..Kila mmoja anataka aonekane bingwa wa kuongea..producer wa hicho kipindi achukue huu ushauri. >>>>> kwanza hawapeani nafasi kwenye kuuliza maswali mgeni akitaka kujibu anakatishwa na swali jingine, very unprofessional! alafu hayo maswali yao hayana ushawishi wa mtu kusikiliza zaidi pia hayamfanyi mgeni kufikiria marambili mbili kwenye kujibu. Maswali yao hayana utafiti ndani yake sometimes wanaweza wakamuuliza mgeni kitu alafu mgeni akawasahihisha kua sio hivyo bali ni hivi.. pia kwenye hayo maswali yao kuna mengine yanamfanya source apatwe na jazba ila basi tu anavumilia, maswali hawayaweki kwa mpangilio from malaini to magumu to malaini. Kipindi kinaendeshwa na mihemko makelele mengi content 0. waache kuigana. Hawaendi na muda inapaswa ikifika saa tano kamili show is over ili watanzania tulale sasa utakuta wanapitiliza kwa vitu visivyoeleweka very unprofessional. Wanapaswa kutenga dakika hata 2 tu za kusoma messages za raia tu sio wanataja social media zao alafu wanamaliza kimya kimya hata kusikia maswali yenye content kutoka kwa raia. Kabla hawajamuita mgeni wafanye research kwanza tena kweli kweli sio kufreestyle tu On air its very unprofessional.
MWISHO uchezeshaji wa jingles ni mbovu sanaaaa, jingles hawazipi nafasi hata sekunde kadhaa kwa sekunde kadhaa. mtu unaburudika na mziki mara utaskia ndani ya sekunde moja jingles 5! very unprofessional wjifunze kwa east africa radio na clouds jamaa kwenye muziki jingels ni moja au mbili tu na zinapikwa kwa wakati maalumu sio hovyo hovyo hadi kumboa msikilizaji.
Hakina urefu huopia kipindi ni kirefu sana bna
Kipindi wanapiga kelele hakuna mpangilio wa kuongea kama kibanda umiza Cha mpira
Mtangazaji mmoja kauliza swali kabla mlengwa hajajibu vizuri mtangazaji mwingine kadakia