BLOCK 89

middo lulyheart

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
260
Reaction score
98
Wanajamvi naamini mko salama,
Binafsi ni mpenzi sana wa Muziki mara nyingi nikitoka mishe zangu naweka redio ambayo inaplay muziki na mara nyingi naweka WASAFI FM.

Aisee kila inapofika saa Mbili najitahid sana kusikiliza hii redio lakini duh ni madudu matupu humo watu kama wapo grocery wanapiga moja mbili tatu.
Wadada wanajisifu eti kupenda wanaume wenye hela dah.
Watangazaji hawana kitu kichwani ni upuuzi mtupu humo.

Nassibu asipo angalia hawa jamaa watamuangusha sana kwenye ku brand redio yake.
Watu tunaanza kuipenda radio hii kwa sababu ya muziki na sio Watangazaji. Wakianza tu kutangaza tunabadilisha station.

NASSIBU KAA MACHO NA MARAFIKI ZAKO ULIOWAAJIRI HAPO.
 

Sijaona kabisa hoja——-
Inawezekana unalo lisema ni kweli lakini hapa hujaweka hoja yoyote ile....
Weka hoja hapa hata moja tuichambue wote!
Kinyume na hapo unaonekana una chuki tuuu zisizo na msingi!
Na chuki humuumiza zaidi anaye chukia.
 
Mimi huwa nawa-tune kuanzia saa 5 usiku, tena narekodi kabisa maana wanashusha ngoma za maana sana. Ila huo ushuzi sijui wa block 89 sitaki hata kuusikia.

Cc Unforgetable
 
Polee sana hicho kipindi ndio nakipenda kuliko vyote pale WASAFI TV.
 
Kama hukipendi ni wewe, pambana na hali yako usitulazimishe na sisi tuone ni ushuzi.
.
Wahuni sio watu BANGO KUBWA dagaa wewe
 
Ila kwangu ni tofauti hiko kipindi ndio favorite kwangu na nakipenda Sana kila ikifika saa 2 usiku lazima nikiangalie.
 
Ni wivu tu
Wengine tunapenda ivyo tu
 
B DOZEN, B 12, Mzee wa Extra Extra LAJI, umesikika [emoji4][emoji4][emoji4]
 
sawa soudy brown umeeleweka, ila mbona shilawadu yenu siku hz haisikiki kama zile enzi mpo na chibu? au unaona wivu tofali 89 linavozid kujizolea umaarufu kuliko shilawadu?
 
Sijaona kabisa hoja——-
Inawezekana unalo lisema ni kweli lakini hapa hujaweka hoja yoyote ile....
Weka hoja hapa hata moja tuichambue wote!
Kinyume na hapo unaonekana una chuki tuuu zisizo na msingi!
Na chuki humuumiza zaidi anaye chukia.
in short Jonijo yupo vizuri kama muongozaji wa kipindi hao wanaobaki ni wabovu
 
in short Jonijo yupo vizuri kama muongozaji wa kipindi hao wanaobaki ni wabovu

Hapana hata wengine wako vizuri kuna yule binti anaitwa Cat ... hicho kipindi ni kipya na wameanza vyema sana wanahitaji kupewa muda tuu watakuwa vyema sana...hata hao unao wasifu hawakuanza hatua za juu walianza kwa chi na kuanza kukua.....
Hivyo lazima tukubali kwa jioni hicho ni kipindi kizuri tuu sema wana hitaji.
 
Kipindi ninachokielewa zaidi kuliko vyote vya redio nchini!!!
 
Kaka tatizo siyo ugeni ila ukiwa makini utaona hawapeani nafasi ya kuongea fuatilia interview zao wnauliza maswal meng bila mpangilio,lets hope baada ya muda watakua vizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…