Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kaka tatizo siyo ugeni ila ukiwa makini utaona hawapeani nafasi ya kuongea fuatilia interview zao wnauliza maswal meng bila mpangilio,lets hope baada ya muda watakua vizuri zaidi
Hilo tatizo lipo lakini kwa kiasi kikubwa limepungua ukilinganisha na mwanzoni kipindi kinaanza na nilisha wai kuwandika humu! Mimi naona at least kwa sasa unaona kipinid kina viongozi unaona kabisa kama siku Jonijo hayupo unajua kiongozi ni Cat.....
Lakini wanapo kwenda ni pazuri zaidi na hilo tatizo mbona lipo kwenye radio nyingi tuu tena kongwe na ni mambo yanayo rebishika pole pole na ni lazima tukubali watu lazima wapewe nafasi ya kukua na kujifunza lakini si kufukuzwa....
Na shida yetu tunapenda ready made sana yani tunataka kila kipindi na kila radio ziwe na level zaClouds au E-Fm ndio kwetu inakuwa wamemefanikiwa...
Tuna shida ya kutoa nafasi kwa watu wapya kujifunza na kukua——
Pamoja na hayo yote lakini hicho kipindi ni kizuri na kina watu wengi wana kifatilia sana....