Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi.
Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa awamu ya nne wa Kilimo kwanza na hata ile kilimo ni uti wa mgongo, siasa ni kilimo, nk ya awamu zilizopita. Awamu ya tano iliachana na kilimo na ikajikita kwenye viwanda kwanza.
Maswali ya msingi ni
1. Je, Block farming inatofautianaje na ile mikakati mingine iliyopita ya CCM ambayo haijazaa matunda?
2. Je, block famining ni ajenda ya kitaifa au ya CCM tena CCM ya awamu ya sita tu?
3. Hivi tuna uhakika gani kama awamu zote za uongozi wa CCM na hata vyama vya upinzani kama vikishinda uchaguzi block farming itapewa kipaumbele?
4. Kwa ajili ya kampeni tu?
Nijuavyo mimi kilimo ni lazima kiwe ni agenda kubalifu kwa wadau wote nchini kuwa huu ndio mwelekeo wetu kama taifa. Na mwelekeo huu unapaswa kuanza na kuyapima na kuyatambua maeneo yote ya kilimo, ufugaji na uvuvi nchi nzima ili maeneo hayo yasibadilishiwe matumizi milele na milele.
Pili kujenga maabara za udogo kwa kila wilaya kama sio kwa kila kata, tatu kujenga maghala ya kuhifadhia mazao husika kila kijiji/kata na kujenga barabara kabla hata watu hawajalima chochote, na nne kuyatambua masoko ya mazao husika kabla watu hawajaanza hata kulima chochote. Kuanza kulima kabla ya kujibu maswali haya kabla ni sawa na kutanguliza mkokoteni mbele ya punda.

Haipaswi kuwa ni agenda ya chama ama awamu fulani tu. Serikali iko bize na kupima viwanja vya makazi na kujenga viwanda, lakini haipimi ardhi ya kilimo. Kule vijijini wananchi wanazidi kupoteza ardhi yao ya kilimo kwa halimashauri kuzigeuza ardhi hata zile zinazofaa kwa kilimo kwa matumizi mengine kama makazi, shule, makanisa, viwanda, shule, uchimbaji madini, ujenzi wa mabomba sijui ya vitu gani, nk. Wanasahau kuwa makazi, viwanda, makanisa, misikiti, . shule vinaweza kujengwa kama gorofa lakini kilimo na ufugaji haviwezi kujengewa gorofa. Kule mijini ardhi yote inapimwa kuwa makazi na kuwanyang'anya watu mashamba yao ambayo walikuwa wanalima mihogo, mahindi, mpunga, matunda na mbogamboga. Hii nayo inahitaji mtu kuwa na elimu kubwa kiasi gani? Watu wooote wa Dar wangeweza kutosha kwenye wilaya moja tu ya Kinondoni kama kungekuwa na mipango mizuri ya ardhi ya makazi na ardhi ya kilimo, viwanda na ufugaji.
Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi.
Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa awamu ya nne wa Kilimo kwanza na hata ile kilimo ni uti wa mgongo, siasa ni kilimo, nk ya awamu zilizopita. Awamu ya tano iliachana na kilimo na ikajikita kwenye viwanda kwanza.
Maswali ya msingi ni
1. Je, Block farming inatofautianaje na ile mikakati mingine iliyopita ya CCM ambayo haijazaa matunda?
2. Je, block famining ni ajenda ya kitaifa au ya CCM tena CCM ya awamu ya sita tu?
3. Hivi tuna uhakika gani kama awamu zote za uongozi wa CCM na hata vyama vya upinzani kama vikishinda uchaguzi block farming itapewa kipaumbele?
4. Kwa ajili ya kampeni tu?
Nijuavyo mimi kilimo ni lazima kiwe ni agenda kubalifu kwa wadau wote nchini kuwa huu ndio mwelekeo wetu kama taifa. Na mwelekeo huu unapaswa kuanza na kuyapima na kuyatambua maeneo yote ya kilimo, ufugaji na uvuvi nchi nzima ili maeneo hayo yasibadilishiwe matumizi milele na milele.
Pili kujenga maabara za udogo kwa kila wilaya kama sio kwa kila kata, tatu kujenga maghala ya kuhifadhia mazao husika kila kijiji/kata na kujenga barabara kabla hata watu hawajalima chochote, na nne kuyatambua masoko ya mazao husika kabla watu hawajaanza hata kulima chochote. Kuanza kulima kabla ya kujibu maswali haya kabla ni sawa na kutanguliza mkokoteni mbele ya punda.
Hii Ajenda Ni nzuri na Nampongeza waziri H.Bashe kwa jinsi anavyo Pambana unajua waziri Yuko smart..Ana uwezo Mkubwa tu wa kuiendesha wizara vizuri kabisa na Inaenda.. pia Kuna mahali alikwama kidogo Et Anamtambulisha mzee wa cindelela Kama mmoja wa vijana walio kwenye sekta ya kulimo Heri angemweka mkandamuzaji maybe Ni Ile skendo ya katb..ndioo maana... Ila Katika kilimo kumtambulisha yule fala cindelela hajawahi anzisha kitu' kikadumu kuanzia mofaya, cjui Horse Energy Hana business Anaweza endesha yule Alie lie kwenye Mapenzi tu' mwenzake kawashika mkono wasanii wengi na wametoka Ila yeye kashindwa hata kumtoa mdogo wake viwango vya juu mpaka Akagongewa mke na msanii mwenzake na mtoto juu.
Yule kwenye kilimo atoke tu Ni propaganda Kama za mofaya..tu Hakuna kitu'.
Watanzania mkoje? Mbona mnawanga mchana kweupe?, hampendi miradi ifanikiwe? Baadhi ya watanzania ni wa hovyo kwelikweli,N. B nenda wizara ya kilimo utapata infos zote za miradi hii
Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi.
Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa awamu ya nne wa Kilimo kwanza na hata ile kilimo ni uti wa mgongo, siasa ni kilimo, nk ya awamu zilizopita. Awamu ya tano iliachana na kilimo na ikajikita kwenye viwanda kwanza.
Maswali ya msingi ni
1. Je, Block farming inatofautianaje na ile mikakati mingine iliyopita ya CCM ambayo haijazaa matunda?
2. Je, block famining ni ajenda ya kitaifa au ya CCM tena CCM ya awamu ya sita tu?
3. Hivi tuna uhakika gani kama awamu zote za uongozi wa CCM na hata vyama vya upinzani kama vikishinda uchaguzi block farming itapewa kipaumbele?
4. Kwa ajili ya kampeni tu?
Nijuavyo mimi kilimo ni lazima kiwe ni agenda kubalifu kwa wadau wote nchini kuwa huu ndio mwelekeo wetu kama taifa. Na mwelekeo huu unapaswa kuanza na kuyapima na kuyatambua maeneo yote ya kilimo, ufugaji na uvuvi nchi nzima ili maeneo hayo yasibadilishiwe matumizi milele na milele.
Pili kujenga maabara za udogo kwa kila wilaya kama sio kwa kila kata, tatu kujenga maghala ya kuhifadhia mazao husika kila kijiji/kata na kujenga barabara kabla hata watu hawajalima chochote, na nne kuyatambua masoko ya mazao husika kabla watu hawajaanza hata kulima chochote. Kuanza kulima kabla ya kujibu maswali haya kabla ni sawa na kutanguliza mkokoteni mbele ya punda.
Hii Ajenda Ni nzuri na Nampongeza waziri H.Bashe kwa jinsi anavyo Pambana unajua waziri Yuko smart huyu Ana uwezo wa kuienesha wizara vizuri kabisa na Inaenda pia Kuna mahali aliteleza kidogo Et Anamtambulisha mzee wa cindelela Kama mmoja wa vijana walio jiajirika Katika kilimo Angali yule fala hajawahi anzisha kitu' kikadumu kuanzia mofaya, cjui Horse Energy Hana business Anaweza endesha yule Alie lie kwenye Mapenzi tu' mwenzake kawashika mkono wasanii wengi na wametoka Ila yeye kashindwa hata kumtoa mdogo wake viwango vya juu mpaka Akagongewa mke na mtoto juu.
Yule kwenye kilimo atoke tu Ni propaganda Kama za mofaya..tu
Pale alicheza karata Mbovu...hiyo jamaa haijawahi anzisha kitu' ika Fanikiwa mazee , wapi mofaya,horse energy ishukuru tu mawingu Fm alipandisha Ila hana kitu' ya ma zee ukiona mwaume anaringa ringa jua hiyo ni hopeless.
Nimsifu kitu' kimoja Ana wife mzuri Ila kashindwa kazi qcha dume ya Kenya Ile kabisa na kushiba