Blockchain Technology Opportunities

Blockchain Technology Opportunities

Joined
Oct 8, 2018
Posts
34
Reaction score
25
Huu ndio ulimwengu ambao umebeba Utajiri usipsahaulika ukimiliki Hatimiliki zake...

Teknolojia ya Blockchain ni ulimwengu kamili ambao unajitegemea kama unataka kujifunza inatakiwa uuzurie Meeting tunazozifanya kwakupitia Google Meeting na Zoom Meeting

Tambua juu ya Metaverse, NFTs, Cryptocurrency na Forex Trading...

SEE YOU AT SUCCESS 🛫
@Augustine_Soka

IMG-20250312-WA0050.jpg
 
View attachment 3268084
Jamani karibuni fursa.
 
Hacha mihemko wew kijana masikini..nenda kamsaidie baba yako kufanya kazi ya ukwezi..!
Kumbe mpo wengi pole sana jua naona linawawakia sana punguzeni hasira hisia hazijawahi kuleta majibu sahihi kwa wakati sahihi kwenye maisha nenda kwa mangi kanunue maji baridi mwagia kichwani tulia ndani ya dk 45 then njoo tuongee...
 
Huu ndio ulimwengu ambao umebeba Utajiri usipsahaulika ukimiliki Hatimiliki zake...

Teknolojia ya Blockchain ni ulimwengu kamili ambao unajitegemea kama unataka kujifunza inatakiwa uuzurie Meeting tunazozifanya kwakupitia Google Meeting na Zoom Meeting

Tambua juu ya Metaverse, NFTs, Cryptocurrency na Forex Trading...

SEE YOU AT SUCCESS 🛫
@Augustine_Soka

View attachment 3268084
Metaverse ni a tillion dollar failure. Mark kachoma pesa naona sasa hata haizungumzii.
Nfts imewaliza watu baada ya hype yake kuisha.
Cryptos kuna pesa lakini inahitaji umakini maana watu wanazipa hype coin zinapanda wanadump walizonazo
 
Back
Top Bottom