Augustine Aloyce
Member
- Oct 8, 2018
- 34
- 25
Jamani karibuni fursa.Huu ndio ulimwengu ambao umebeba Utajiri usipsahaulika ukimiliki Hatimiliki zake...
Teknolojia ya Blockchain ni ulimwengu kamili ambao unajitegemea kama unataka kujifunza inatakiwa uuzurie Meeting tunazozifanya kwakupitia Google Meeting na Zoom Meeting
Tambua juu ya Metaverse, NFTs, Cryptocurrency na Forex Trading...
SEE YOU AT SUCCESS 🛫
@Augustine_Soka
View attachment 3268084
Jitahidi kuacha kutumia hisia sehemu panapohitaji kutumika akili sio kila kitu inafaa ucomment kubali kupitwa wakati mwingine.Jamani karibuni fursa.
Hacha mihemko wew kijana masikini..nenda kamsaidie baba yako kufanya kazi ya ukwezi..!Jutahidi kuacha kutumia hisia sehemu panapohitaji kutumika akili sio kila kitu inafaa ucomment kubali kupitwa wakati mwingine.
Kumbe mpo wengi pole sana jua naona linawawakia sana punguzeni hasira hisia hazijawahi kuleta majibu sahihi kwa wakati sahihi kwenye maisha nenda kwa mangi kanunue maji baridi mwagia kichwani tulia ndani ya dk 45 then njoo tuongee...Hacha mihemko wew kijana masikini..nenda kamsaidie baba yako kufanya kazi ya ukwezi..!
sauti ilisikika toka mbali ikisema ...............Jamani karibuni fursa.
Metaverse ni a tillion dollar failure. Mark kachoma pesa naona sasa hata haizungumzii.Huu ndio ulimwengu ambao umebeba Utajiri usipsahaulika ukimiliki Hatimiliki zake...
Teknolojia ya Blockchain ni ulimwengu kamili ambao unajitegemea kama unataka kujifunza inatakiwa uuzurie Meeting tunazozifanya kwakupitia Google Meeting na Zoom Meeting
Tambua juu ya Metaverse, NFTs, Cryptocurrency na Forex Trading...
SEE YOU AT SUCCESS 🛫
@Augustine_Soka
View attachment 3268084