Bloggers waendeleza kejeli kwa Rais Kikwete


Hapo kwenye impact sijakuelewa mkuu. Unaweza kuelezea zaidi?
 
Kwani watanzania tuko Milioni ngapi na walio mpigia kula ni milioni ngapi pamoja na rushwa, uizi wa kura..ni zahiri jibu litakuwa sikweli kwamba 80% ya watanzania wote ndiyo waliompingia..
 
Hapo kwenye impact sijakuelewa mkuu. Unaweza kuelezea zaidi?


Yaani wengi wetu humu sio wapiga kura, pia hawasikiki na wapiga kura ambao wengi wapo vijijini ambapo hata magazeti hayafiki.

Kwahiyo wayasemayo/andikayo hayauhathiri uongozi uliopo madarakani au serikali kwa ujumla.
 

Haya mawazo sio mazuri kwani ni kufungana midomo hatua ambayo sio nzuri kwa ustawi wa taifa. Moja ya hizo blog zilizotajwa ni Ngurumo ambaye ana sifa moja kuu ambayo Wtz wengi hawana, nayo ni ujasiri wa kumkosoa kiongozi aliyepo madarakani na sio kupoteza muda mwingi kwa yule aliyemaliza muda wake.

Sasa watu wajadili nini kuhusu JK na serikali yake kama sio kuweka wazi uozo uliopo ili keki yetu iwe salama.
 
My dear Comrade Habarindiyohiyohiyo,
Is something precious like RESPECT earned or just given like a GIFT?Kikulacho waswahili wasema ki nguoni mwako. Ni makosa sana kuanza kuangalia yaliyo nje kabla ya kujitafakari kwa ndani mtu unafanya nini. Watanzania walio wengi hawapendi kumtukana Raisi.Itakuwa bahati mbaya kama Raisi ameamua kujitukana mwenyewe.Hapo itabidi ajilaumu mwenyewe maana ni matendo yake tu ndo yanayotuambia yeye ni mtu wa aina gani na sio vipaza sauti ambavyo tukiamua tunaweza kuvijaza hata nchi nzima
 
Ni Kikwete (aliyeingia madarakani na fedha za kifisadi) ndiye anayewakejeli wananchi wake kwa kutabasamu anapotakiwa kutoa majibu ya kuridhisha na kero mbalimbali za wananchi na pale anapoenda kuiwakilisha nchi katika kila kikao huku akiwa na wasaidizi wake. Hizo ndiyo kejeli na si wananchi kutoa kero zao kwa kiongoza waliomuweka madarakani awatumikie.
 
Dont forget that RESPECT IS EARNED Mr Habari ndio hiyo!
 
ah! ndugu yangu kwani hufuatilii matukio mbalimbali ya kule kwa wenzetu wanaojifanya wako mbele kwa ustaarabu na mambo ya maendeleo?

Kama hujafuatia basi unaweza kuanza kufuatilia na utagundua viongozi wao wanavyowakosoa kwa kupitia cartoon mbali mbali tena za kutukanisha.

 

Hivi wewe umetumwa?? nani kamkejeli humu? Watu wanatoa hisia zao juu ya kiongozi wa nchi yao aliyepo madarakani! Rais siyo Mungu hata asiwe na makosa na anastaili kukosolewa
 
Kumezuka tabia ya bloggers wa kitanzania kuendeleza kejeli kwa Rais Kikwete kwa kutumia lugha kali kali ambazo pia zinaleta uchochezi.
unaaina ya utaahila kidogo, acha Uwoga kijana, Rais si malaika, raisi mwenyewe kaonyesha madhaifu makubwa, mtetezi mkubwa wa wala Rushwa...tu mafanyeje kikwete kama kumpiga bakora hatuwezi, angalau tumzomee na kumshambulia kwa maneno kila inapobidi...ndo maana nasikia kule Mbeya alipigwa mawe, wale watu wamechoka kudanganywa na kushambuliwa na umasikini unaosababishwa na mipango ya hovyo ya serikali.
 

Mkuu,

How many times do you want JK to side with Mafisadi? When did he stop siding with them? I am worried he is just part and parcel of Mafisadi. Period!!!!

Tiba
 
Lipi baya kumkejeli Rais au watanzania kwa ujumla? Kiongozi anaposema kwamba pesa ilyoibwa EPA si ya watanzania bali ni ya wafanya biashara! Kama hii si kejeli naomba niambiwe ni nini?
 
ila jamaa presider kiboko, im sure schedule yake ya kuwatch ndani ya nchi ni 8% nje 91% kuna mambo kibao ya kufanya humu ndani lakini sela duh hayupo,anamwachia Shein ambye naye its true the load isextremely heavy for him to cary, Pinda anhangaika na Kilimo kwanza na matatizo kibao ya nchi hii,sasa iweje asisemewe mbovu?hivi tu tunalalamika anaact namna hii je tungekuwa kimya ingekuweje?
 
 
Kwani hawa watu wachukuliwe hatua kama ze utamu? kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa katiba ya Tanzania.Ila maoni hayo yana mipaka yake.Kwenye forum ya ze utamu it was too much ilikuwa ni halali kwa wao kufungiwa kwani walishindwa kufuata maadli ya taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…