Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akileta nitagSisi group O je?
Mimi ni group AB,asante kwa kutukumbuka mkuu.Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi
Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati
Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
Ongeza sifa ingine umesahau huwa wana bahati mbaya ya kupatwa na magonjwa ya pressure,Moyo na hasa cardio pulmonary arrest yaani moyo kusimama ghalfa wakiwa kwenye advaced age.Ila ni kwa wale wenye AB+ Yaani Rhesus Macacus factor +ve kwa negative sina ushahidi kama umejifagilia basi msala huo mwingine hakuna kizuri kinachokosa kasoro
Hakuna mahusiano yoyote kati ya group la damu la mtu na uwezo wake wa kuelewa mambo (IQ). Hakuna utafiti unaothibitisha hilo!Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi
Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati
Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.