Blood group AB

Ongeza sifa ingine umesahau huwa wana bahati mbaya ya kupatwa na magonjwa ya pressure,Moyo na hasa cardio pulmonary arrest yaani moyo kusimama ghalfa wakiwa kwenye advaced age.Ila ni kwa wale wenye AB+ Yaani Rhesus Macacus factor +ve kwa negative sina ushahidi kama umejifagilia basi msala huo mwingine hakuna kizuri kinachokosa kasoro
 

Duuh,mbona unanitisha sasa.
 
Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi
Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati
Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
Hakuna mahusiano yoyote kati ya group la damu la mtu na uwezo wake wa kuelewa mambo (IQ). Hakuna utafiti unaothibitisha hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…