Z Ze observer JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 232 Reaction score 492 Jul 31, 2018 #1 Naombeni msaada juu ya kundi tajwa hapo juu.. 1. Kuhusu resistance kwa magojwa 2. Unaweza ku donate kwa makundi yapi na kupokea kwa makundi yapi
Naombeni msaada juu ya kundi tajwa hapo juu.. 1. Kuhusu resistance kwa magojwa 2. Unaweza ku donate kwa makundi yapi na kupokea kwa makundi yapi
Google chrome JF-Expert Member Joined Nov 26, 2017 Posts 2,276 Reaction score 12,780 Jul 31, 2018 #2 Ze observer said: Naombeni msaada juu ya kundi tajwa hapo juu.. 1. Kuhusu resistance kwa magojwa 2. Unaweza ku donate kwa makundi yapi na kupokea kwa makundi yapi Click to expand... Angalia video hii hapa kwa kuanziaView attachment blood.mp4
Ze observer said: Naombeni msaada juu ya kundi tajwa hapo juu.. 1. Kuhusu resistance kwa magojwa 2. Unaweza ku donate kwa makundi yapi na kupokea kwa makundi yapi Click to expand... Angalia video hii hapa kwa kuanziaView attachment blood.mp4
Samwel Ngulinzira JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,829 Reaction score 1,972 Aug 1, 2018 #3 Unaeza kudonate kwa B+ na AB+ Unaeza kupokea kutoka kwa O-,O+,B- na B+ Kuhusu resistance cna uhakika.
Unaeza kudonate kwa B+ na AB+ Unaeza kupokea kutoka kwa O-,O+,B- na B+ Kuhusu resistance cna uhakika.