Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
mfukunyuzi imekula kwako hiyo ..........................:becky:
Wakulu wa jukwaa hili eti kwa mfano umezaa na mdada halafu wewe ni group A+ wakati la mama yake ni A+ vipi ikiwa mtoto katoka na group O+ inawezekana kibaologia au ndio nimebambikiwa mtoto sio wangu? Nauombe ushauri tafadhani je inawezekana blood gropu yangu itofautiane na ya mwanangu?
Wakulu wa jukwaa hili eti kwa mfano umezaa na mdada halafu wewe ni group A+ wakati la mama yake ni A+ vipi ikiwa mtoto katoka na group O+ inawezekana kibaologia au ndio nimebambikiwa mtoto sio wangu? Nauombe ushauri tafadhani je inawezekana blood gropu yangu itofautiane na ya mwanangu?
Nilishtuka sana niliposoma hizo comments zenu ikabidi niingie deep at least baada ya kusoma hii article hapa chini nimepata relief maana nilizaa nae si tu mdada bali ni mai waifu ninayempenda sana....
For example, two O blood type parents can produce a child with only O blood type. Two parents with A blood type can produce a child with either A or O blood types. Two parents with B blood type can produce a child with either B or O blood type. One parent with A and another with B can produce a child with A, B, AB or O blood types. If one parent has A and another has AB, they can either produce a child with A, B or AB blood types. If one parent has A and another has O, they can either produce a child with A or O blood types.
Blood Type Chart - Paternity determination by blood type - parents & child
Kwamaelezo ya dactari mmoja alinieleza kwamba"group ya damu ya baba na mama ndio huwanayo mtoto wao kati yao, nje ya hapo mtoto si wamwanaume"dactari mwingine aliniambia blood group yaweza rithishwa kizazi na kizazi.naomba kuondolewa utata huu.ester njema.
naomba jamani wataalamu wa elimu hii ya udaktari, nauliza kuna madhara gani kwa mwanaume mwenye blood group A RH positive akiwa na uhusiano na mwanamke mwenye group O RH negative. kuhusiana na maswala ya uzazi, yaani kuzaa na kupata mtoto pamoja?. je mtoto anaweza ku-survive(kuishi), kama ni mwanaume kuna haja ya kuwa na uhusiano na mwanamke wa hivi na kufunga nae ndoa, pia kama mtoto ataweza kusurvive ni kwa muda gani?.na huyo mtoto anategemea kuwa na aina ya jinsi ili aweze kuishi(either wakiume au wakike)?.ningeomba ufafanuzi wenye msaada katika hili wana Jamii niko njia panda.