Cis AB is a rare ABO Blood group antigen genotype which is phenotypically almost the same as AB.
Kwa mantinki hiyo ni AB Blood group pekee ndio wanaoweza kuwa mutant, groups nyingine nadhani zipo safe.
Aisee jf ni bonge ya darasa, ok @watu8 nami niambie, mie ni group O+ na mume wangu ni B+ watoto watakaozaliwa hapo watakuwa na group gani?
Mwanao au wanao watakuwa na kundi B au O, lakini chance kubwa kwa kila uzao ni mtoto mwenye kundi B.
+ve & +ve inatoa either +ve au -ve.
duh !aiseee
mada tajwa apo juu yahusika
mada tajwa apo juu yahusika
kwa kesi ya kwanza. mtoto atakuwa ni blood group O+.
na kwa kesi ya pili.
mtoto anaweza kuwa na blood group B kama baba ni BB+ au blood group O+ kama baba ni BO+. all in all hyo ni probability tu !
Wazazi wawili wenye kundi la damu O+ siku zote watapata watoto wenye kundi hilo pia, na hilo halijalishi idadi ya watoto...
Nami naongeza swali, Baba ni group B+ na mama ni O+, watoto watazaliwa na gruop lipi la damu
mtoto anaweza kuwa na blood group B kama baba ni BB+ au blood group O+ kama baba ni BO+. all in all hyo ni probability tu !
There's no such a thing in red...
Anauliza baba na mama wana damu group O+, mtoto atakaezaliwa na wazazi hao wawili atakuwa na group gani la damu?
Nami naongeza swali, Baba ni group B+ na mama ni O+, watoto watazaliwa na gruop lipi la damu
Cc: watu8, MziziMkavu mnahusika hapa
Mie mwenyewe kanichanganya nikajiuliza hii BB+ ndio group gani hili