maisha yanawezekana bt impact inakuja kama mtoto atachukua ile rh postive kwa baba then wakat anazaliwa kwenye kukata kitovu damu ya mtoto ikachanganyikana na ya mama then mama atatengeneza antbodies agnst zile rh postive, so kulingana na kwamba immunoglobin g inatabia ya kupita kwenye placenta then kama mama atapata mimba nyingine yenye damu ya rh postive huyu mtoto atakufa is where now we get haemolytic disease of new born.
Wengi mambo haya yanasumbua japo tumepitia. Japo nimeshaoa na nina mtoto bado nami ningependa kujua. Mimi ni A RH+ na mke wangu ni O RH+ lakini daktari wakati tunapima akatuambia haina tatizo japo hatukupata muda wa kupata maelekezo mengi na kuuliza maswali, na mtoto bado hatujampima ana group gani, japo mtoto yuko fresh sana na hana tatizo lolote na katika makuzi hasumbui wala kuumwaumwa!! Swali langu ni je kwa huko mbeleni haina shida zozote?? kwa mwenye kujua tafadhali anisaidie. Baiolojia ya kidato cha tatu na yale ya ku kross kross kwingi ilishanitoka kitambo!!!
Jaribu kuangalia hapo juu kidogo kabla ya coment yako.
Japo majibu nazidi kuyatafuta.
Duuuh ama kwahakika kuuliza si ujinga
Pia Elimu haina mwisho
Mimi nina A+ na Wife ana B nilipomwambia akampime Mtoto ana kundi gani la damu
Hospitali baada ya vipmo mtoto alikuwa &B
Wataalam hebu msaada hapo kuna shida yoyote?.
true?
NINACHOJUA:
>Blood grp A- have antigens only against for antibodies of bld grp B plasma
>Blood grp B- have antigens only against for antibodies of bld grp A plasma.
>But Blood grp O Have neither antigens to both bld grp A nor B.
>KWA MAELEZO HAYO JUU MI NADHAN HAKUNA TATIZO KWA SABABU MAMA ANA BLD GRP O.
Labda tuzidi kutafuta majibu sahihi.
>Hiyo inawezekana kabisa na wala sio dhambi pia sio miujiza.
>hii inawezekana endapo wewe una
AO {unayoisema A} na Mamaa ana BO {Unayoisema B}
>Inamaana kuwa O yako imeungana na B ya Mamaa na kuunda BO.
>B ni donor{we sema tu kubwa} na O ni recessive {we sema ndogo}
>Hivyo bas B it dominate O na inasomeka kama B.
hujambo?Mbona wote ni wenye sifa nzuri?Je wakorofi na wenye sifa opposite wako group gani?
Mbona wote ni wenye sifa nzuri?
Je wakorofi na wenye sifa opposite wako group gani?
Hahahahahaa! Mkuu unajua umegusa pabaya? Watu hatupimi damu bana, nomaa! Ninachojua wife ana AB(-). Ila kama kuna ka ukweli fulani! Maana wife ni jembe kweli kweli!