Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?


ntaufuata huo ushauri mkuu asenten wote
 
Mkuu bantulile, unaweza ukawa na point lakini ukawa umeipoteza kwenye maelezo meeeengi ambayo hayana maana kwa kesi iliyopo hapa! Hapo kwenye red sikuelewi kabisa mkuu unachotaka kuniambia kwani nilichosema kwa mujibu wa taarifa aliyotupa mtoa mada, data zinatufanya tujue ni kwamba watoto watakaowazaa ni group A (AO) ama B (BO), na si vinginevyo, hii ni kutoka kwenye elimu ya blood group.
Blood group ni initial stage ya kujua hawa ni watoto wako endapo alleles zenu wazazi mkizicross F1 generation zitacontain product za alleles zenu kitu ambacho hakipo kwa kutumia data za huyu dada. Hata hivyo hii isiwe final decision ya kuwa watoto ni wako hata kama watoto wenu damu zao zinacontain alleles zenu kwani mwanamke anaweza akachepuka na kupata ujauzito kutoka kwa mwanaume mwenye blood group kama yako! Hapo ndipo inapokuja issue ya kufanya DNA analysis ili kujiridhisha kwamba hawa watoto kweli ni wako?! Vinginevyo iwe kweli alivyosema kaka watu8 kwamba huyu dada, mumewe pamoja na mtoto mmoja wapo ama wote walipewa majibu ya uongo au specimen zao huko laboratory zilichanganywa na za wengine hiyo wakapewa majibu yasiyo yasiyotokana na specimen zao!
Kwa taarifa yako wewe mwenyewe kati ya watoto wako angekuwepo wa group A ama AB ungekuja hapa kutulilia tukueleze kama hao watoto ni wako! Na kweli kama una wa group A na AB basi hao hawatakuwa watoto wako! na kwa kumalizia tu hata hao watoto unaweza ukakuta si wako kwani mkeo akichepuka na jamaa lenye group kama lako we utabaki unalipa school fees tu! Kwa hiyo hata kesi yako si valid hapa, DNA analysis has the final answer! OTHERWISE UKUBALI KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI! Pia uwe unatoa hoja kwa maelezo yako siyo kukopi page zima kutoka kwenye internet then unaibuka kwa tambo na kuponda wachangiaji!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama matokeo ya hospitali yakithibitika kwa DNA kuwa mtoto ni wa baba huyo na mama huyo na blood groups ziwe kama hivyo alivyodai huyo mama hii case itakuwaje ? Ishawahi pata tokea kesi kama hii popote pale duniani.?

Mkuu ngoja kuna case study moja ya "Blood Mutation" nafuatilia bila shaka nitakuja na jibu...
 
Huyo baba asikatae majukumu yake bana! Mm binafsi nina O+ mama yangu ana O+ baba ana AB mbona ckupata hiyo A or B? Na kwetu wote tumefanana na babayetu group zetu O kasoro mmoja kapata AB tuko 7. Mtasema hapo mamauangu aliibia njee??
Huyo baba ajiulize wazazi wake walikuwa na group gani za damu asimsumbue mkewe
 
Mhh, hakyanani.............! mkuu watu8, hebu wahi huku ukiipata hiyo ' blood mutation' knowledge make tunazidi kupata za uso huku!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu xyz123 kuna case study moja imeshawahi kufanyika ambapo Mzazi mmoja mwenye kundi AB na mwingine mwenye kundi O wanaweza kupata mtoto mwenye kundi O.

Hili jambo sio common na ndio maana linahusishwa na 'blood mutation', na case study ya namna hii imeshawahi fanyika nchi za mashariki ya mbali i.e Korea na Japan.

Hili kundi la damu spesho hutambulika kama cis-AB, ambapo isivyo kawaida huambatana na alleles A, B au O. Yaani mtu wa namna hii anakuwa na AB/A, AB/B au AB/O.

Sasa mtu wa namna hiyo ukimcross na mtu mwingine mwenye kundi OO, AO au BO kuna wa kupata mtoto mwenye kundi O, A, B, AB au cis-AB.

Si ajabu na sisi Tanzania kukawa na watu wenye aina hii ya mutation na pengine habari hii inaweza mpatia ahueni kidogo bi mkubwa huyu kabla hajafanya vipimo zaidi.

NB:
Inaaminika kwa kila Wakorea 100,000 basi watatu wana aina hii ya kundi la damu, wakati kwa kila Wajapan 100,000 basi mmoja pekee ana aina hii ya damu.

Soma hapa link ya kwanza uone namna inavyoelezewa kikemikali, na link ya pili na tatu kwa maelezo zaidi.

1. Genetic mechanism of Cis-AB inheritance. II. Cases associated with structural mutation of blood group glycosyltransferase.

2. Understanding Genetics

3. Cis AB - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Last edited by a moderator:
Kwanza Pole ila mmeo nae wa wapi hoja yake haina mashiko otherwise DNA ina husika hapo
 

Duh..huyo Mama yako nuksi kweli,yaani amembambikiza Mzee wa watu watoto wote 6 kati ya 7?noumer kweli.

Huko kufanana itakuwa ni kwa imagination zenu tu,maana ata mke na mme wakikaa pamoja na kuwa beneti sana baada ya muda utaona kama wanafanana.Ebu check Blood calculator hiyo kwa hisani ya Watu8,Blood Type Child Parental Calculator -- EndMemo, Huyo sio Baba yenu.Mwambieni Mama yenu awaambieni Baba yenu wa ukweli kabla hajafa.
 
asanteni wote kwa ushauri wenu na elimu mlionipatia mungu awabariki
 
Acha ushamba wewe mwanamke mpeleke mtoto kwa baba yake usimbambikizie mtu litoto bwana
 
Mkuu watu8 nimeipitia hiyo makala, na ninaona ndio case inayoingia kwa hawa wakina dada. Vipi CIS AO, BO, na OO zinaexist.? Ama ni kwa AB pekee.?

Nadhani dada hapa amepata ahueni.
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]father
[/TD]
[TD]Blood
[/TD]
[TD]Type
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]A
[/TD]
[TD]B
[/TD]
[TD]AB
[/TD]
[TD]0
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mother
[/TD]
[TD]A
[/TD]
[TD]A/O
[/TD]
[TD]A/B/AB/O
[/TD]
[TD]A/B/AB
[/TD]
[TD]A/O
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Blood
[/TD]
[TD]B
[/TD]
[TD]A/B/AB/O
[/TD]
[TD]B/O
[/TD]
[TD]A/B/AB
[/TD]
[TD]B/O
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]type
[/TD]
[TD]AB
[/TD]
[TD]A/B/AB
[/TD]
[TD]A/B/AB
[/TD]
[TD]A/B/AB
[/TD]
[TD]A/B
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]O
[/TD]
[TD]A/O
[/TD]
[TD]B/O
[/TD]
[TD]A/B
[/TD]
[TD]O
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 500"]
[TR]

[/TR]
[TR]

[/TR]
[TR]

[/TR]
[/TABLE]
 
si lazima mtoto arithi kwa baba ninachojua anaweza chukua blood group ya mama au baba..kama una uhakika ni wa kwake nendeni mmkapime DNA
 

kwanza inavyoonekana wewe mwenyewe hauna uhakika kama mtoto ni wa huyo mume wako ndio maana umeuliza hapa,... kama ungekuwa na uhakika usingeuliza,..
pili maswali kama haya huwa yanaulizwa na wanaume mara nyingi kwa sababu kubwa ni kuwa siri ya mtoto aijuaye ni mama so siku zote wanaume tunalea tu mtoto.,..
tatu kama unakumbuka kama kuna mtu zaidi ya mumeo ulisex nae mtafute maana possibility ya huyo mtoto kuwa wa nje ni kubwa otherwise kama umekosea vipimo vya damu
nne ni impossible narudia tena haiwezekana kwa mtoto kuwa na group o na mzazi mmoja kuwa na AB na mwingine o,..
hitimisho kwa hivyo vipimo ulivyoleta huyo mtoto sio wa mumeo tafuta baba yake mwingine au karudie kupima halafu rudi hapa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…