Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
@BAK Mkuu ukiwa upo Serious waweza kupata Wachumba humu ndani Waswahili husema Masihara Masihara mwisho huwa ni kweli Mkuu Hhaahahahah umenifurahisha mkuu Ukipendwa jipendekeze tu sio mbaya.:lol:Hehehe MziziMkavu na gfsonwin au Mr & Mrs MziziMkavu....mie naomba mwaliko tu wa harusi hii, popote pale duniani nitazuka kuhudhuria harusi hii ππ...Kila la heri.
BAK Mkuu ukiwa upo Serious waweza kupata Wachumba humu ndani Waswahili husema Masihara Masihara mwisho huwa ni kweli Mkuu Hhaahahahah umenifurahisha mkuu Ukipendwa jipendekeze tu sio mbaya.:lol:
@BAK Kumpata aliye kuwa yupo Serious sio rahisi mpaka ajitokeze yeye mwenyewe kukupenda Mkuu.Ni kweli kabisa Mkuu MziziMkavu kuna akina dada hapa jamvini wa maana sana tena wametulia ile mbaya.
@BAK Mkuu wewe upo Group lipi kwani?Mhhhh! Hapo juu nilikuwa sijaziona personality traits za wale ambao damu yao ni group O...Ahsante sana Mkuu MziziMkavu.
@BAK hahahahah ππ sawa nimekuelewa Bubu atakaposema Mambo yatapomzidia itabidi umtafute mchumba mwenye Damu Group 0+ Positive.Kama ya Mr & Mrs MziziMkavu ππ
BAK, Hata hivyo ndio tunataka tumwombe Bi mkubwa ruhusa ili akubali kupeleka mahari kwetu. MziziMkavu kasema itaitwa harus ya EDEN huko mtakula matunda na asali tu na divai tu.Hehehe MziziMkavu na gfsonwin au Mr & Mrs MziziMkavu....mie naomba mwaliko tu wa harusi hii, popote pale duniani nitazuka kuhudhuria harusi hii ππ...Kila la heri.
BAK, umeona jinsi ilivyo na advantage hii blood group? yaani labda nikuongezee tu watu wenye this tpe of blood wana folds nyingi kwenye brain, humu kwenye folds ndimo zinamokaa akili so study moja ilifanywa USA wanafunzi ambao walikuwa na type O+ blood walionekana kuwa na akili zaid kwan kwao mikunjo ya ubongo ni mingi sana. Mzizizmkavu nafikir utakubaliana na mimi kwa hili.Kama ya Mr & Mrs MziziMkavu ππ
gfsonwin mie pia nitajitahidi kuwaombea kwa Bi Mkubwa ili atoe ruhusa kwa Mr MziziMkavu alete mahari nyumbani...Nimeshaweka order yangu ya kadi ya mwaliko...kokote kule duniani nitaenda ili kuhudhuria harusi hii ya wapendanao ππBAK, Hata hivyo ndio tunataka tumwombe Bi mkubwa ruhusa ili akubali kupeleka mahari kwetu. MziziMkavu kasema itaitwa harus ya EDEN huko mtakula matunda na asali tu na divai tu.
@gfsonwin ni Kweli unayoyasema Watu wenye Damu yenye Group 0+ ni Group moja Strong kali sana katika Ma Group ya Damu Kiongozi wao ni Group 0+ kwa hiyo sisi wenye Damu ya Group 0+ Tumejaaliwa na Mwenyeezi Mungu kwa kila kitu asante sana Mwalimu wangu GOD Bless you.BAK, umeona jinsi ilivyo na advantage hii blood group? yaani labda nikuongezee tu watu wenye this tpe of blood wana folds nyingi kwenye brain, humu kwenye folds ndimo zinamokaa akili so study moja ilifanywa USA wanafunzi ambao walikuwa na type O+ blood walionekana kuwa na akili zaid kwan kwao mikunjo ya ubongo ni mingi sana. Mzizizmkavu nafikir utakubaliana na mimi kwa hili.
Mkuu@BAK Na wewe pia tukutafutie Mchumba mwenye Group 0+ humu ndani ya Jamii forums.gfsonwin mie pia nitajitahidi kuwaombea kwa Bi Mkubwa ili atoe ruhusa kwa Mr MziziMkavu alete mahari nyumbani...Nimewshaweka order yangu ya kadi ya mwaliko...kokote kule duniani nitaenda ili kuhudhuria harusi hii ya wapendano ππ
MziziMkavu ni kweli this is the dominant blood group, iko powerfull na very resistable to diseases. nashukuru sana kwa wote waliosoma na kuilewa hii post.gfsonwin ni Kweli unayoyasema Watu wenye Damu yenye Group 0+ ni Group moja Strong kali sana katika Ma Group ya Damu Kiongozi wao ni Group 0+ kwa hiyo sisi wenye Damu ya Group 0+ Tumejaaliwa na Mwenyeezi Mungu kwa kila kitu asante sana Mwalimu wangu GOD Bless you.
Mkuu@BAK Na wewe pia tukutafutie Mchumba mwenye Group 0+ humu ndani ya Jamii forums.
@BAK Binadamu inatakikana kila Mtu kujuwa upo kwenye position gani?Sio tu binadamu awe anaishi kama mnyama pasipo kujuwa yupo hali gani kiafya? itabidi watu walijuwe hilo suala la Damu Group ni muhimu kwa kujenga familia na kila kitu katika maisha ya kila siku ya Mwanadamu.Mhhhhh! Mkuu MziziMkavu hili la kutafuta mchumba kwa kutumia blood group litakuwa ni la aina yake LOL! Mabinti ambao labda hawajui group zao itabidi wazijue haraka sana ππ....Nikiwa tayari nitawastua Mr & Mrs MziziMkavu... gfsonwin mbona unataka kunipa kazi ngumu ya uweka hazina bana!?...mie nilitaka kuja kujichana tu na kujirusha kwa sana sasa unanipa majukumu mazito!!! LOL!
BAK ni huku Tz tu watu hatuhangaiki kujua blood groups zetu. Wenzetu hiki ni kitu basic sana manake hata kwenye diary wanaandika incase of anything anapata reference. MziziMkavu nafikir bado watu wengi sana hawana uelewa juu ya elimu ya afya na wawe na nini as their references. mathalani yampasa kila mtu kuwa na mahali panapoonyesha blood group yake na allergies alizokuwa nazo ili kukwepa madhara awezayo kuyapata kiafya but huku tunajiishia.Mhhhhh! Mkuu MziziMkavu hili la kutafuta mchumba kwa kutumia blood group litakuwa ni la aina yake LOL! Mabinti ambao labda hawajui group zao itabidi wazijue haraka sana ππ....Nikiwa tayari nitawastua Mr & Mrs MziziMkavu... gfsonwin mbona unataka kunipa kazi ngumu ya uweka hazina bana!?...mie nilitaka kuja kujichana tu na kujirusha kwa sana sasa unanipa majukumu mazito!!! LOL!
BAK ni huku Tz tu watu hatuhangaiki kujua blood groups zetu. Wenzetu hiki ni kitu basic sana manake hata kwenye diary wanaandika incase of anything anapata reference. MziziMkavu nafikir bado watu wengi sana hawana uelewa juu ya elimu ya afya na wawe na nini as their references. mathalani yampasa kila mtu kuwa na mahali panapoonyesha blood group yake na allergies alizokuwa nazo ili kukwepa madhara awezayo kuyapata kiafya but huku tunajiishia.