V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,183 Reaction score 1,322 Apr 11, 2022 #1 Nauza digital blood pressure machine iko katika hali nzuri sana. Bei sh 140000.00 mazungumzo yako. Punguza gharama za kwenda kucheck BP kwenye clinic .simu 0712652110
Nauza digital blood pressure machine iko katika hali nzuri sana. Bei sh 140000.00 mazungumzo yako. Punguza gharama za kwenda kucheck BP kwenye clinic .simu 0712652110
Vladimir Lenin JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 3,613 Reaction score 5,119 Apr 11, 2022 #2 Tujue kwanza dukani inauzwaje
Me too JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,388 Reaction score 9,333 Apr 11, 2022 #3 si upitishe kwenye zahanat mkuu
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,183 Reaction score 1,322 Apr 11, 2022 Thread starter #4 Me too said: si upitishe kwenye zahanat mkuu Click to expand... Hichi kifaa sio lazima kiwe kwenye clinic.Kwa mgonjwa wa BP ni muhimu kucheck BP yako mwenyewe mara kwa mara nyumbani.Watu wanafariki kwa kukosa ku control BP zao
Me too said: si upitishe kwenye zahanat mkuu Click to expand... Hichi kifaa sio lazima kiwe kwenye clinic.Kwa mgonjwa wa BP ni muhimu kucheck BP yako mwenyewe mara kwa mara nyumbani.Watu wanafariki kwa kukosa ku control BP zao