Blood transfusion

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Naomba nijifunze nini kinapotokea mtu anapopokea damu ya mtu mwingine labda group 1 au tofauti...

Or lets say mtu apewa damu ya mnyama kama mbuzi au ng'ombe...

Nini kinatokea kwenye blood transfusion na complications zake...?
 
Nachojua ni ukimuwekea mtu damu ya kundi tofauti na lake utakuwa umemuua. Wataalamu watakuja kufafanua zaidi
 
Naomba nijifunze nini kinapotokea mtu anapopokea damu ya mtu mwingine labda group 1 au tofauti...

Or lets say mtu apewa damu ya mnyama kama mbuzi au ng'ombe...

Nini kinatokea kwenye blood transfusion na complications zake...?

Studies zinaendelea kufanywa ila so far damu ya ng’ombe na kondoo zinaweza kufanywa as long as cross matching ya damu ikifanywa na kuonekana iko poa.

Yani lazima wahakikishe hakutakua na damu kupingana kwanza.
 
Naomba nijifunze nini kinapotokea mtu anapopokea damu ya mtu mwingine labda group 1 au tofauti...

Or lets say mtu apewa damu ya mnyama kama mbuzi au ng'ombe...

Nini kinatokea kwenye blood transfusion na complications zake...?
Immune system yako ita-attack red blood cells ya hiyo damu iliyokua transfused na hiyo ndio itayokuletea shida , unaweza kufa but sio most of the cases
 
Kwahiyo vile wanavoangalia mtu mwenye group O...lazima apewe na O...ni kwa sababu gani zaidi..?
 
Ndio hivyo ulivyoelezwa, mara nyingi kinachotokea ni kinga ya mwili itaanza kushambulia seli nyekundu za damu inayoogezwa, hii hali inaweza kupelekea mtu kuishiwa nguvu kabisa, kutetemeka, kuhisi baridi kali, joto la mwili kushuka sana na wakati mwingine damu kuanza kuganda, na mengine mengi, mtu anaweka kufa mapema sana kama hatapata msaada wa kitabibu.

Japo kuna baadhi ya watu hiyo hali inaweza isiwatokee na wakawa vizuri tu hata baada ya kuongezewa damu group lisilo lake, ila si jambo la kujaribu maana ni hatari.
Kwahiyo vile wanavoangalia mtu mwenye group O...lazima apewe na O...ni kwa sababu gani zaidi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…