Blood tube holder

Blood tube holder

Mjomba kazola

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
33
Reaction score
14
Habari zenu ndugu zangu
Naomba kuuliza kwa wale wazee wa maabala,
Kuna hospitali moja nimetembelea nimekuta wanatumia hii blood tube holder kwa zaid ya mtu mmoja (reuse) yan wanachofanya ni kubadilisha tu ile sindano ya juu lkn holder ni ileile
Sasa je nauliza kwa afya hii imekaaje hasa hasa katka maswala mazima ya kuambukizana HIV na magonjwa mengine kwa njia ya damu. Je sio risk ku share hii kitu

Thanks in advance​
 

Attachments

  • F182868~p.eps-650.jpg
    F182868~p.eps-650.jpg
    15.4 KB · Views: 23
Back
Top Bottom