Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya Urusi wakati Urusi ni moja ya nchi zitegemewazo duniani ktk ku-supply mbolea duniani.
Bloomberg yasema Biden ilimlazimu atume mjumbe wake kimyakimya kwenda Moscow (Urusi) kuomba 'poo' ktk suala la mbolea ili Putin awapatie Marekani mbolea zaidi kwa ajili ya kuepuka bei kupanda zaidi lakini pia uhaba wa chakula mwaka ujao.