J josiah2008 Member Joined May 22, 2010 Posts 51 Reaction score 23 Apr 13, 2012 #1 Nimepita mitaa ya Jiji la Dar nikitafuta movies za Blu-ray bila mafanikio.Kama yupo mwenye movies hizo anijulishe hapa hapa jukwaani.Ziwe Region free au Region 2.Weka bei yake na kama ni brand new au used.
Nimepita mitaa ya Jiji la Dar nikitafuta movies za Blu-ray bila mafanikio.Kama yupo mwenye movies hizo anijulishe hapa hapa jukwaani.Ziwe Region free au Region 2.Weka bei yake na kama ni brand new au used.