CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
google canola in kenya. ila hakuna majibu ya moja kwa moja. contact one acre fundHivi mbegu za Canola siwezi pata kwenye masoko yetu hapa Tz mpaka kuagiza kenya? Nataka niijaribu kulima zao hili japo si kibiashara kwanza
Kampuni ya Blueband ya Kenya ambauo ina product yao maarufu ya Margarine ya kupaka kwa mikate kwa sasa wana zalisha pia mafuta ya kula yatokanayo na CanoCala.
Wamekuwa wanapata Canola kutoka kwa wakulima wao na nyingine huagiza nje ya nchi.
View attachment 2388954
Umeeleza vizuri mkuu, bila shaka una ukaribu flani na Unilever.Hakuna kampuni ya blue band, Kuna kampuni ya Unilever UK HQ, Kenya EA Hq wanaotengeneza na kusambaza margarine brand ya Blue band, Becel, Bona , zeuweee sema kwa soko ya EA maarufu ni blueband, sasa wana products mpya inaitwa Blueband Canola na Blueband avocado
Umeeleza vizuri mkuu, bila shaka una ukaribu flani na Unilever.