Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Nacoment ili nikutie moyo usijisikie vibaya, maana mimi hujisikia vibaya ninapoanzisha sredi ikakosa comments . ' woow she's so cute'
Hahahahaha kwani nishawai kumlazimisha mtu acomment?
Habari za kiswahili ndio uwa mnapenda za kimombo ni shida
Mkuu sijasema Kama umelazimisha, ila ni ubinadamu wangu ndio umenisukuma, sipendi ujisikie vibaya Kama ninavyojiskia
Nani kakwambia mi uwa najisikia vibaya? Mi niko poa tu wasipo comment najua ujumbe umefika ila haujawavutia na kwa vile nyingine zilizowavutia wana comment hivo sioni tatizo.
Kila mtu ana uhuru wa kukoment au kuacha.
Ni hayo tu uwa sijisijikii vibaya kama wewe
Masimango hayo, lakini nafikiri hii sio tabia yako kwani ungewamaliza!Nacoment ili nikutie moyo usijisikie vibaya, maana mimi hujisikia vibaya ninapoanzisha sredi ikakosa comments . ' woow she's so cute'
Masimango hayo, lakini nafikiri hii sio tabia yako kwani ungewamaliza!
Kama sijakuelewa vile
Nilikusudia ufahamu kama hukufahamu basi.
Nacoment ili nikutie moyo usijisikie vibaya, maana mimi hujisikia vibaya ninapoanzisha sredi ikakosa comments . ' woow she's so cute'
Hee nyie mwalumbana???jinsia gani
Gogle bana kumbe ukitoa uzi kila saa unaangalia kama wamekoment hahhhahhhahhhaa