binafsi naamini huo muonekano wa maringo wa Jigga ni sehemu ya showbiz yake..kitu kimoja nna hisia nacho ni kuwa hujaiskiza hata album yenyewe bluray,it's all in your head..anyway,hatutakaa tufikie muafaka wa haka kaubishi sababu kama ulivyokuwa determined kuamini amekwisha,ndio nilivyo ya kuwa nigga yupo poa sana!anafanya mziki nnaotaka kuuskiliza..
i went kwa this club NY on Friday na nimekoma ile ngoma na AK inavyoimbisha..NY,ambako ndio kwenye mziki wa kweli na sio ule wa kijinga usio na contents still loves him..hawezi kuweka mic chini kirahisi rahisi man..
na by the way,nilipenda ile kazi yake kwenye awards jana,hasa ule mchakato mzima wa kuingia kwake ukumbini..achia mbali zile 2 hrs juzi madison square..