Huu wimbo nimekutana nao insta,nikaona niufuate YouTube
Wimbo umenijeruhi hisia,ndani ya dakika tano,kwa mashairi mazito na mkong'osio(melody) wa hisia za juu,umeelezea ukoloni ulivyoingia na namna tunavyosaidia kuuendeleza hapa afrika,tena dini ikiendelea kutugawa kila uchao
Tumia dakika zako tano kuupa sikio