BMT kama Simba na Yanga nembo za Taifa zipelekeni makumbusho basi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Huyuu katibu wa BTM bomu kabisa jana kashangaza watu

Kwanza anadai watu waachane na Simba na Yanga ati ni nembo za Taifa. Mbona amkuingilia kati Stand United ni nembo ya TBL?

Mnashangaza kuzing’ang’ania Simba na yanga kunamaslahii gani hukoo jamanii mtuambiee. Badilisheni katiba fasta.

Nashaurii kama ni nemboo za Taifa zipeni ruzuku basi na kama vipi mzipeleke pale makumbusho zikaonyeshe alama ya Taifa

Sasaa hizi timu zingine mmeziweka nemboo gani katibu wangu... Naziwaza siku hizi Simba na Yanga azipo sijui mnaenda wapi

Mwishooo nawapongeza Simba na Yanga msiyumbishwe na mtu wala chama nyie ndioo wenye timu fanyeni lolote kwa maendeleo yatimuzenuu

Wanajuaa mgaoo palee utabadilika wakija mo na manjii

Fanyeni haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…