BMT: Marufuku Simba Na Yanga Kubadili Umiliki, Zibaki Kwa Wanachama

[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo utasikia sisi Yanga malengo yetu na kumfunga Simba na Simba nao utawasikia tukimfunga Yanga tu kwisha......tuwekeze kwa hawa jamaa ili tufanikishe haya!
Nawaza tu kwa sauti!!!
 
Tatizo siasa zinatuharibu,we huoni kuna kasoro katika ukodishaji na umiliki wa hizi timu?? Na ni yale yale ushabiki kwa kwenda mbele??
 
Si kweli, hebu tafuta sheria ya BMT uisome uone kama kweli BMT ni wachawi wa michezo au sheria yetu ndio tatizo?
Huyo anatapa tapa,yaani hiyo tu mara moja BMT kutoa muongozo ishakuwa mchawi......tuna safari ndeefu ya kwenda!!
 
Kitendo cha kuzuia timu hizo kuendeshwa ki kampunin.ni kuturudisha nyuma miaka hamsini na tano..yaani wanachama wamepigwa propaganda na wapinga maendeleo .humo humo siasa zimeingia yaaani upumbavu mtupu nchi ya watu wajinga sijapata ona
 
Kama unandoto za kuiona tanzania inapiga hatua katika mpira wa miguu basi utasubiri sana.Labda kizazi hiki kilichopo kiondoke chote.
 
Wanachama ndio wenye maslahi inakuwaje BMT iwaingilie ni bora ingejikita kwenye timu za taifa sio vilabu hawavisaidii
 
alichosema kiganja upande wa yanga ni Kama mkulima ambae anajiandaa kuvuna halafu unamwambia usipanda mazao
 
<<< kiganja huyu wampe yale ya SHIMIWI tu SIO huku waliko mweka anatuaibisha saaaaaaana >>>
 
Watu wa Simba na YANGA mnaleta mambo kama ya Burundi. Walipojiunga ICC, walipewa na katiba. Hawakuisoma. Ghafla wanakurupuka kujitoa. Wakaambiwa someni katiba kwanza. Kurudi kuisoma aibu.

Ningependa kujua zaidi hapo! Japo tuko kwenye sportsss!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…