My Take
Kadiri Chadomo na kina GwajiBoy watazidi kuvuja mapovu ya chuki na wivu ndivyo SSH anazidi kujizolea matuzo kama yote.
Ushauri kwao,kuliko kuhangaika na Samia ambae hamna uwezo wa kushindana nae jikiteni kufanya mambo ambayo Yana Tija Kwa jamii Ili nanyi mtambulike.
===
Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi akimkabidhi zawadi ya tuzo ya heshima ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa na tuzo ya heshima iliyotolewa kwake ambazo zote zimetolewa na Baraza la Michezo la Taifa.
Chanzo: EATV