Hello wandugu ninaomba msaada wa kunijuza zilipo sehemu hizi. Ningependa anayejua wapi zilipo hizi BMU's ( Beach Management Units) au watu wengine huziita Landing Site. Sehemu hizi zipo ziwa victoria nachotakakujua ni je zipo visiwani au pembezoni mwa ziwa?Sehemu hizo ni kwa upande wa Mwanza-IHALE, KAHUNDA, NAMASABO,NEW KOMBE, CHATO GHATI, NKOME MCHANGANI na MCHANGANI KOME. Please nijuze kama sehemu hizi unaingia visiwani au ni beach za kutokea nchi kavu. Mwenzenu nipo katika harakati za kujiajiri
Thanks Great Thinkers.