BMW 3 Series vs Crown Athlete

Nope siyo ushabiki, kwamba Golf iko class moja na Runx?
Ndio maana nikasema ukiangalia build Quality utaona Golf ana materials nzuri zaidi ila kimsingi Class ya gari na wanunuzi ni wale wale wamelengwa!

Zote ni hatchbacks na wanunuzi ni wale wanaopenda gari ambazo hazina muundo wa Teksi! Iwe tu sporty car flani ambayo haina tako refu they did it with Runx!

Watakao admire ile build quality ya kijerumani basi watanunua VW Golf ama Audi A3 ile maisha yanakwenda. Wanaozingatia Reliability na low running costs basi wataenda na Runx!
 
 
Sawa

mkuu, wakati mjadala ukiendelea tafta Lexus IS350 uitazame kwa utulivu
Mkuu nimechungulia Kwenye mtandao huo MPIRA aisee ni balaa, America na ulaya wanatumia lexus badala ya crown ni kama ilivyo Toyota harrier na Toyota lexus hawa wote ni ndugu moja.
Hii ndinga ndiyo imeuza Sana marekani Kwa upande wa sedan



 
Natumaini tumeelewana sasa, wale wabishi waendelee kukaza ubongo tu! Hizi gari resale value iko juu thus wengi hawazi afford ila wabongo wakisanuka wakaanza kuzivuta ni hatari!
 
7 Series haipambanishwi na GS series, huyo anaenda na LS. LS ndio Flagship Sedan ya Lexus
 
Yeah nilichanganya madesa hapo! 7 series ni kwa LS trim ndio wako league moja!
GS anapambanishwa na 5 series
Sawa sawa, na 3 series ligi moja na IS na kina Altezza kwa japan. Na toyota JAPAN Crown ndio flagship yao, so all crowns zina compete na 7 series (in Japan) ila Toyota USA, flagship yao ni Avalon.

All in all, only Lexus LS ndio anaeweza kumtingisha 7 series kutoka kwa mjapan. Hizo crown na avalon naona ni kama wannabe cars
 
Hahahahah kweli mzee ila wamejitahidi sana kuenda na upepo walau watu wanaweza pata ile Luxe feel
 
acheni kupambanisha BMW na uchafu 🌚🌚🌚... Mjereumani toka pande za Buza
 
Natumaini tumeelewana sasa, wale wabishi waendelee kukaza ubongo tu! Hizi gari resale value iko juu thus wengi hawazi afford ila wabongo wakisanuka wakaanza kuzivuta ni hatari!
Hizo hazishuki Bei hovyo hovyo Kama zile utopolo Germany fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…