Car4Sale BMW GT 520d 2014/2015

Imeibiwa?inauzwa?imepiga mbono?umenunua?ikiwezekana rudi hapa mkuu maana picha haitoi maelezo.
 
Sorry ninauza
Samahani mkuu inawezekana ni mgeni jukwaa hili nakushauri andika upya bandiko lako likieleza details(specifications)zote za gari,bei na wewe unapatika wapi naamini hii gari utauza hapa JF ila kwa bandiko lako linawapa watu uvivu wa kuhoji.
 
Iko showroom nimeiweka hapo kwa ajili ya kuuza
 
Haina tatizo gari ina manufacture warranty bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…